Friday 28 February 2014

MSANII WA MUZIKI WA KIAZI KIPYA NCHINI ,ALI SALEHE KIBA MAARUFU SUKARI YA WAREMBO AELEZA KUHUSU UKIMYA WAKE


Alikiba amesema kuwa ukimya wake nikwaajili yakujipanga na sio kama ndo kaangamizwa na wasanii wengine,

"Niko katika harakati yakuaandaa album yangu mpya,Soon itakuwa sokoni,mashabiki mzidi tu kunipa sapoti yenu",alisema.

No comments:

Post a Comment