Kutoka katika kazi mpya ya Ben Pol 'Najikubali' teaser ambayo ameitoa
hii leo, 'attention' ya watu wengi imeibuka hasa baada ya msanii huyu
kusikika amemtaja bi dada Lady Jay Dee ambaye kwa sasa asilimia kubwa ya
watu wanawachukulia kuwa wao ni mahasimu na hawaelewani.
Ben Pol ameweka wazi kuwa, Kazi hii aliirekodi kabla ya 'tiff'
lake yeye na bi dada na hivyo hata baada ya mapito ameona si issue
kuedit, lakini pia msanii huyu amefafanua status nzima ya mahusiano
yake na Lady Jay Dee kwa sasa hasa ikizingatiwa kuwa wawili hawa
walipishana maneno mtandaoni siku kadhaa zilizopita....
No comments:
Post a Comment