Wanamchi wa maeneo ya mikese, wamekusanyika na kuusimamisha msafara
uliobeba mwili wa marehem Ngwea kwa kutaka na wao wamuage,
"mmoja kati ya waliolekea kusindiza maiti hiyo alisema walikutana na kundi la watu na kudhani
labda kuna tatizo. Baada ya kusimamishwa na trafic na kuuliza tatizo ni
nini, Trafic alisema kuwa wananchi hao wamekusanyika na ili kuuaga mwili
wa marehem Ngwea na kudai kitendo hicho kikifanyika ndio amani
itapatikana.
Kilichofanyika ni kuruhusu watu wle walishike gari lililokuwa na mwili
wa Ngwea na kuondoka, lakini baada ya kuondoka, zaidi ya pikipiki 50
walizozikuta pale ziliongoza msafara huku magari mengine pia yakiunga
msafara huo.
No comments:
Post a Comment