Friday, 28 February 2014
MSANII WA FILAMU NCHINI NIGERIA,JIM IYKE MAHUTUTI
Jim Iyke alipata ajali ya gari wiki iliyopita na mpaka sasa yuko na hali ambayo haitii moyo hospitalini,nchini Nigeria.
Tumuombee apone jamani mashabiki wake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment