Baada ya siku kadhaa za kuahirishwa kufika kwa mwili wa msanii Ngwea,
hatimae leo hii Tanzania imempokea kipenzi chao, katika uwanja wa ndege
saa nane za mchana. maelfu wajitokeza wakiongozwa na wasanii wenzake wa
bongo fleva. Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi
Aliewahi kuwa manager wake kwa miaka mitatu mfululizo, Tippo, akiwa uwanjani tayari kwa kumpokea Albert Mangwea
May his soul rest in peace Amen!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mungu kampenda Zaidi
ReplyDelete