ASTERIA MDAKIRWA

Thursday, 13 June 2013

KURUDIANA KWA AMINI NA LINA NI UZUSHI TU,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!CHECK TAARIFA HIYI HAPA

EEE BANA EEE! AMINI VIPI? CHECK THIS OUT!!!!!!!!!!!!!!!!

Wiki kadhaa Msanii Amini alisikika akisema kuwa yeye na msanii mwenzake kutoka Tanzania House of Talent (THT) Lina Sanga (Lina) wamerudiana katika uhusiano wa kimapenzi baada ya kuachana. Lakini leo hii kupitia mtandao wa instagram, kumepatikana  picha iliyotumwa na video queen wa video ya wimbo wa Masogange (Aggy Masogange) ikimuonyesha Lina na kijana mwingine ikiwa na maelezo yanayo onyesha kuwa ni wapenzi.
Posted by Unknown at 01:09
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Followers

Total Pageviews

My Living Word

In God I Trust!

I always never regret for a past happening! I never let anyone depress me because of anything! I am focused and always Loyal! I live my life and according to how i can and not by others choice!

Advice
Always be you and never let anyone ruin your life!

Popular Posts

  • HIKI NDICHO KILICHOMUUA NGWEA
    Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya...
  • BIFU LA KINA RUGE LAMUOKOA LADY JAY DEE(CHECK THIS OUT)!!!!!!!!!
    KATIKA MATAMASHA YOTE ALIYO FANYA MWANA DADA HUYU KIPINDI CHA MIZOZO YAKE NA WATU WA CLOUDS AKIWEMO RUGE MTAHABA NA KUSAGA ,,,,JAY DEE AME...
  • NICE MOHAMED MAARUFU MTUNISI AMEWATA WASANII KUWA NA USHIRIKIANO ILI KUJIPATIA MAFANIKIO KATIKA SANAA(FILAMU)
  • MWILI WA MAREHEM NGWEA WATUA JIJINI DAR MAELFU WAJITOKEZA KUMPOKEA
    Baada ya siku kadhaa za kuahirishwa kufika kwa mwili wa msanii Ngwea, hatimae leo hii Tanzania imempokea kipenzi chao, katika uwanja wa ...
  • EXCLUSIVE: HII NDIO STATUS YA MAHUSIANO YA JAY DEE NA BEN POL KWA SASA
    Kutoka katika kazi mpya ya Ben Pol 'Najikubali' teaser ambayo ameitoa hii leo, 'attention'  ya watu wengi imeibuka hasa baa...
  • JACKLINE WOLPER (WOLPER GAMBE REAL): SITAKI MUNIINGILIE MAISHA YANGU
    MSANII MWENYE STAR LOOK KATIKA TASNIA YA SANAA(FILAMU) JACKLINE WOLPER AMETOA ONYO KWA WALE WOTE WANAFATILIA MAISHA YAKE NAKUJIFANYA WA...
  • NYOTA WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AFRICA MASHARIKI,NASEEB ABDUL MAARUFU DIAMOND PLUTNUM AMEWEKA WAZI KUWA ANAKERWA NA TABIA ZA WASANII WANAOPENDA KUMCHAFULIA JINA WAKATI KILA MTU ANAHANGAIKIA MAISHA YAKE
    Diamond alisema kuwa kuna baadhi ya wasanii humpakazia kuwa yeye anawasema wasanii wengine wamuziki wa kizazi kipya hususan kazi z...
  • WANANCHI WA MIKESE WAUSIMAMISHA MSAFARA KUMUAGA NGWEA
     Wanamchi wa maeneo ya mikese, wamekusanyika na kuusimamisha msafara uliobeba mwili wa marehem Ngwea kwa kutaka na wao wamuage, "mmo...
  • KURUDIANA KWA AMINI NA LINA NI UZUSHI TU,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!CHECK TAARIFA HIYI HAPA
    EEE BANA EEE! AMINI VIPI? CHECK THIS OUT!!!!!!!!!!!!!!!! Wiki kadhaa Msanii Amini alisikika akisema kuwa yeye na msanii mwenzake kuto...
  • DIAMOND AMTOLEA NJE WEMA NA KUMPAMBANISHA NA PENNY AMRIKODI NA KUSAMBAZA CLIP
       Clip iliyosambaa inayomuhusisha Wema Diamond na Penny imefika ndani ya blog yako, clip ambayo inaonekana kurecodiwa kwa maksudi na...
Picture Window theme. Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.