weeks baada ya kumake headlines kwa kukamatwa na polisi kwa kosa la kudaiwa
kumtishia maisha mtoto wake wa kiume, the atlanta Rapper young jeezy
amejikuta mikononi mwa polisi kwa mara nyingine tena, baada ya kukamatwa tena
hapo jana pande za georgia.
Rapper huyo alikamatwa baada ya polisi
kurespond kwa alarm ambayo ilikuwa imelia kutoka kwenye nyumba ya girlfriend
wake,ambapo Jeezy alikuwepo, ingawa haijafahamika mara moja nani ambaye
alibonyeza alarm hiyo katika kuashiria hali ya harate.
Polisi walipofika eneo la tukio, kuangalia nini kinaendelea
ndipo inaposemekana young jeezy hakutoa ushirikiano kwa polisi hao pale alipoanza kuulizwa maswali,
Taarifa zinasema polisi walipomuuliza jina lake na kumuomba ajitambulishe ma ninja jeezy went
nuts, na kuanza kufunguka, " F you , i aint tellin u"
No comments:
Post a Comment