Mchekeshaji Joan Rivers amponda mtoto wa Kanye kwa kusema ni "MBAYA"
Mwana mama mchekeshaji Joan Rivers, amemponda
mtoto wa Kanye West, "North West" kwa kusema ni MBAYA, katika vichekesho
vilivyofanyika Saban Theater, january 17, Los Angeles, California.
No comments:
Post a Comment