Wednesday 22 January 2014

GARI INAUZWA: AINA: TOYOTA HARRIER UKUBWA WA ENGINE: CC 2200, Four Cylinder RANGI: nyeupe (Pearl)


 MAELEZO MENGINE: Ina Insurance cover ya Comprehensive imelipiwa mwezi August. Haijawahi kuwekewa spare yoyote fake kwa vile tangu kununuliwa haijawahi kupata matatizo yoyote, na pia haijawahi kurushwa muda wa Service. Ila imewahi kubadilishwa Shock up moja tu ambayo hata hivyo iliwekwa shock up original. Ina Spare tire mpya, jake mpya, triangles mbili na fire extinguisher. Pia ina Rimz za Chrome Ina seat covers za Leather pamoja na za soft massage juu yake. imekuwa designed kisasa ndani pamoja na music system kubwa ya SONY ya kisasa (toleo karibia la mwisho) inayocheza DVD, CD ya kawaida pamoja na MP3 kwenye flash inayoweza kufikia ukubwa wa 32GB. Booster ya Watts 2400 RMS pamoja na Subwoofer mbili za watts 1000 kila moja. Kwa ufupi Imetunzwa kwa kiasi cha juu na hivyo atakayenunua anauhakika wa kuichukua na kufanya safari fupi na hata ndefu bila hata ya kwenda service. Ninauza kwa vile sitakuwepo kwa muda usiopungua mwaka na hivyo nisingependa ikae bila kutumika, hivyo haiuzwi kwa sababu ya ubovu. kwa mawasiliano unaweza kunitafuta kwenye +447466218075 kwa kunipigia au hata kwa sms itajibiwa pia. Unaweza kunipata kwa Whats app kupitia +255-713-518549. Kwa urahisi zaidi unaweza kupiga namba 0754-233304 PICHA ZAKE NI KAMA ZINAVYOONEKANA.
















No comments:

Post a Comment