Monday 20 January 2014

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Elias Branabas maarufu Barnaba Boy ameweka wazi kuwa ataendelea kufanya kzi ya muziki kwa jitihada zote ili kuitambulisha Tanzania kimataifa kama marehemu Steven Charles Kanumba alivyokua akijitahidi katika tasnia ya filamu


Akizungumza na papaso la burudani jijini Dar es alaam (Asteria Mdakirwa) Barnaba alidai kumkumbuka marehemu Kanumba na yuko tayali kuendeleza kazi alionza bila kusahau kufanya muziki wake kwa faida ya nchi na sio binafsi

No comments:

Post a Comment