Monday 20 January 2014

Msanii wa muziki nchini,Esterlina Sanga maarufu Linah anarudi darasani baada yakufanikiwa kujipatia jina kubwa katika muziki..

Akizungumza na papaso la burudani(Asteria Mdakirwa) Linah alisema kuwa hawezi kuriziki na pale alipofikia na kusahau masomo.
"Ntarudi darasani mwaka huu na nitasomea mambo ya Productio",alisema.

No comments:

Post a Comment