Wednesday, 18 September 2013

MR CHOCOLATE,BAADA YA KIMBIJI SASA KUKARIBIA KUACHIA BASHASHAA!....KAA MKAO WAKULA

BASHASHA AMEMSHIRIKISHA MSANII MWANADADA ,VANESSA MDEE,NGOMA IMEANDALIWA STUDIO KWAKE MWENYEWE YA SHAROBARO RECORDS ILIYOPO MAGOMENI MAPIPA NA VIDEO KUSHIRIKIANA NA OGOPA DJZZ  KUTOKA KENYA.....
MTASUBRI SAANA!!!!!!!!!!!!!!!EEE BANA EE SIO YAKUIKOSA!!!!!!ENJOY

No comments:

Post a Comment