Wednesday, 18 September 2013

ROSE NDAUKA AMEWATA WASANII WA HAPA NCHINI KUJIHESHIMU ILI NAO WAPATE KUHESHIMIKA KUTOKANA NA KAZI YAO!

Msanii wa filamu hapa nchini Rose Ndauka amewataka wasanii kujiheshimu kwanza ili wapate kuheshimika.

WASANII WENGI HUWA NATABIA YAKUPENDA KULALAMIKA KUWA WANACHAFULIWA MAJINA BILA KUJUA NI KWANINI KUTOKANA NA KUWA HAWAJUI SEHEMU WANAZO TAKIWA KUWEPO NA PALE AMBAPO HAWASTAHILI KUWEPO!

No comments:

Post a Comment