Sunday, 9 June 2013

VICTORIA KIMANI ATOKA NA VICTOR WANYAMA















Kimani  miaka 21ambaye usiku wa leo ataperform live katika jumba la Big Brother, juzi kati alikua nchini Kenya akiwa anazindua Chocolate City ndipo tetesi zikasikia kuhsu uhusiano wake na Victor Wanyama mcheza mpira wa miguu.Victoria amethibitisha haya kuptia mtandao wa Twitter na Instagram.

No comments:

Post a Comment