Sunday, 9 June 2013

TIWA SAVAGE AFANYA KAZI NA SARKKODIE














Mwanadada kutoka Nigeria ambaye kwa sasa anafanya vizuri katika muziki nchini Nigeria juzi kati alikua nchini Ghanna kwa ajili ya kushoot  Video ya wimbo wa yake mpya inayotarajia kutoka Ogasti mwaka huu na ameamua kufanya kazi kimuziki na Mmoja kati ya wasanii wanofanya vizuri nchini Ghana ana julikana kwa jina la SARKKODIE

No comments:

Post a Comment