Monday, 10 June 2013

MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE ( KASHI) AFARIKI DUNIA JANA MCHANA

Muigizaji wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi) amefariki dunia jana  mchana  katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Kashi amewahi kutamba na mchezo wa ITV, Tamu Chungu akiwa na wasanii wenzake kama Mzee Masinde,Samson na wengine.

No comments:

Post a Comment