Friday, 7 June 2013

MAZISHI YA NGWEA YALIVYOKAMILISHWA HAPO JANA MKOANI MOROGORO


 Hatimae Jana, msanii Albert Mangwea, alifikishwa katika nyumba yake ya milele, katika makaburi ya Kihonda mkoani Morogoro, pembeni ya kaburi alilozikwa marehem baba yaje mzazi.
watu walikusanyika kumlaza Ngwea ndani ya nyumba yake ya milele

 
M2TheP akimuaga mshikaji wake wa karibu, marehem Albert Mangwea, katika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro
 
Maelfu ya wakazi wa Morogoro wakiwa katika foleni kumuaga marehem Albert Mangwea


Dada alie anguka na kuzimia akichukuliwa na watu wa msalaba mwekundu

No comments:

Post a Comment