Monday, 10 June 2013

THE FINEST RELOADED SASA NI JUNE 14TH


Ile classic show iliyohairishwa kufanyika kupisha mazishi ya mpendwa wetu Albert Mangweha a.k.a Ngwea, sasa inatarajiwa kufanyika siku ya tarehe 14 ndani ya jumba la makumbusho ya taifa, mijini, opposite na chuo cha IFM. Show hiyo inayoongozwa na Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana FA itakuwa na wasanii wengine kama Mandojo na Domokaya, Njenje Band na wengineo ikiwa ni surprise kwako....

No comments:

Post a Comment