Sunday, 26 May 2013

JINSI OBAMA ATAKAVYO KUWA ANALINDWA

Katika ziara yake katika baadhi ya nchi za africa,hivi ndivyo itakavyokuwa juu ya ulinzi wa rais wa marekani Barack  hussein Obama..Inasemekana kiongozi huyo wa marekani atazuru nchi za Tanzania,Senegal na South Africa..

No comments:

Post a Comment