Msanii anaeimba style ya ragger dance hall hapa Tanzania Chibwa,ambae kwasasa amepata nafazi katika tuzo za Kili music.
Chibwa alisema”kwasasa muziki wa ragger dance hall
unaeleweka vizuri sana, unajua mwanzoni watanzania walikuwa wenaegemea
upande flani hivi,but now wameupokea vizuri maana mpaka wanafikia hatua
ya kunifananisha na watu tofauti wa nje ya inchi.So kwangu ni hatua
kubwa sana,hivyo ntaendelea kuwaburudisha kwa ngoma kali tu.
No comments:
Post a Comment