Sunday, 26 May 2013

MWANA FA HANA BIFU NA JIDE

Kuna tetesi kwamba nyota wa ngoma ya Bado nipo nipo Hamisi Mwinjuma ameandaa show ambayo itafanyika tarehe 31/march mwaka huu siku ambayo mwanadada anaconda pia atakuwa anazindua usiku wa miaka 13 ya lady jay dee.

No comments:

Post a Comment