Msanii
kutoka House of talent {THT}Diito ,alisema”muziki so lazima mtu
ushiriki kwa kuimba ,ila unaweza kushiriki kwa namna yoyote
ile,aliyasema hayo katika mahijiano na tizniz.com.
Alisema”kwa mfano mimi sauti yangu haikusikika katika nyimbo ya Moro All starz,ambayo ilishirikisha watu kama Afande sele,Mc koba,Dayana,Stamina,na wengine wengi,ila nilishiriki katika ushauri na vitu vingine kwani ratiba yangu ilikuwa ngumu sana.
No comments:
Post a Comment