WASANII WENGI WANAKUWA NA SKENDO HAPA NCHINI KUTOKANA NA KUWA LABDA HAWAKUFUNDWA KUHUSU MAADILI YA KAZI YA SANAA,ALISEMA RICHIE.
SIO WOTE WENGI KATI YA WALE WANAOJIIA WASANII NI WASANII KWELI,WENGI WAO HU SHOOT FILAMU MOJA AMA KUTOA SINGLE MOJA ,AKISHAPATA JINA ,HUTUMIA JINA HILO KUFANYA MAMBO YAO MACHAFU NA HAPO NDIPO WANAPO HARIBU PICHA NZIMA YA WASANII HAPA NCHINI,
"TUSIPENDE SHORTCT JAMANI ,KILA KITU KINA MDA WAKE",ALISEMA.
No comments:
Post a Comment