Saturday, 31 August 2013

FOOLISH AGE YA LULU SASA IKO MTAANI....SIO YAKUKOSA!










Kwa mara ya kwanza jana muingizaji muigizaji wa filamu bongo ELIZABERTH MICHAEL  (LULU)  alizindua FILAMU yake iliyokua ikisubiriwa na wengi sana, "FOOLISH AGE" pale MLIMAN CITY ,uzinduzi ulifana vilivyo hasa pale ilipoimbwa wimbo wa  Lady Jide "YAHAYA" zifuatazo ni baadhi ya picha katika uzinduzi huo:

No comments:

Post a Comment