Msanii wa muziki wa hip hop hapa nchini,Emmanuel Munisi amewataka wasanii wajitume na kujitolea katika kazi ya sanaa walio chagua,pia aliwaomba mashabiki pamoja na wasanii wenyewe kuelewa nini maana ya muziki wanaofanya ama kuupenda ili kuepusha mizozo inayo jitokeza mara kwa mara
No comments:
Post a Comment