Saturday, 31 August 2013

BINTI KIZIWI AGOMA KURUDI BONGO

Sandra Khan maarufu Binti Kiziwi amakataa kurudi bongo kutoka Hong Kong,binti huyu alikamatwa na madawa ya kulevya nchini china,na anadai kuwa atakaa huko mpaka kifungo chake caha miaka mitatu kiishe.

No comments:

Post a Comment