Saturday, 17 August 2013
MR.NICE: SIJIHUSISHI NA MADAWA YA KULEVYA
MSANII ANAYE JULIKANA SANA KWA STAILI YA TAKEU,NICE MKENDA MAARUFU MR NICE AMEWEKA MASHABIKI WAKE WAZI KUWA
YEYE HAJAWAHI KUTUMIA WALAKUWAZA KUFANYA BIASHARA YA KUUZA UNGA JAPO YEYE NI MSANII AMBAE ANAONGOZA KWA KWENDA NJE YA NCHI
"NAJITAMBUA,NA PIA NARIDHIKA NA KILE AMBACHA NAPATA KUPITIA MUZIKI.........CHAMSINGI WASANII WENZANGU TUBADILKE,ALISEMA.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment