Saturday, 17 August 2013

EMINEM NA VIDEO MPYA YA "SURVIVAL"








BAADA YA KIMYA KIREFU MWANA HIP HOP WAKI MAREKANI,MARSHALL MATHERS (III) MAARUFU EMINEM ANATARAJIA KUACHIA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA UNAOJULIKANA KWA JINA LA "SURVIVAL"

SURVIVAL NI WIMBO AMBAO UPO NDANI YA ALBUM YAKE YA NANE,NA MSANII HUYU AMEKIRI KUTOKAA MDA MREFU BILA KUTOA NYIMBO JAPO ANAAMINI KUWA ANA UJUZI MKUBWA WA MUZIKI WA HIP HOP NA HAITAJI DIPLOMA KWA AJILI YA MUZIKI HUWO KWA KUWA HATA HIYO DIPLOMA ALIIKIMBIA.

No comments:

Post a Comment