Wimbo wa Let There Be Love, ni wimbo ambao
unatoa mafunzo juu ya ubaguzi wa jinsia,chuki,ukabila nakadhalika ni wimbo wa
17 katika album yake ya 17 inayo tambulika kwa jina la Lotus.
Christina
aliiambia Celebrity Gossip Website kuwa,video hiyo imetolewa kwa ajili ya
kuwashukuru mashabiki kwa kuendelee kumfanya Christina aendelee kusikika na
kumvumilia pale alipokuwa kimya kimuziki.
Napenda
kusema kuwa,mashabiki kupiatia video yangu hii wataijua familia yangu akiwemo
mtoto wangu,Max na marafiki zangu kama Nicole Richie.
No comments:
Post a Comment