Celin aliiambia Billboard jana kuwa,wimbo
huo uliandikwa na Sia Furler na kutengenezwa na watayarishaji wawili,Sham na Motesart.
Akizungumzia kuhusu ujio wake mpya
huo,Celin alisema wimbo huo ni moja kati ya utambulisho wa Celin Dion mpya
kwakuwa katika Love Me Back to Life ameonyesha utafauti wa uimbaji pamoja na
video iliyo bora zaidi.
Sitaki kuzungumzia sana kuhusu Celin
Dion mpya bali mashabiki wenyewe wasubiri waone nilicho kiandaa,nikiwa na miaka
45 sasa,nakumbuka watu walivyo kuwa wakiongea kuwa ni msanii gani atendelea
mpaka agues Peack ya Mlima kimuziki,namshukuru Mungu nimerudi tena,alisema.
Alimalizia kuwa kwasasa anataka kuwa
mpya japo halazimishi watu kuamni kuwa ni ni mpya,ila kwake yeye anajivunia kwa
hapo alipo fikia.
No comments:
Post a Comment