VIDEO TEASER: TAMTHILIA 69 RECORDS YAREJEA KWA MSIMU WA TATU NDANI YA CLOUDS TV
Tamthilia ya vijana, inayoongozwa na vijana iliyojaa, mapenzi, vioja,
maisha ya muziki na vingi vinginevyo, inayorushwa kupitia Clouds Tv
imerudi tena kwa msimu wa tatu. na sasa utaiona kila siku za jumatatu,
kuanzia saa tatu na nusu
No comments:
Post a Comment