Wakazi wa Mwanza (mabatini), Temeke (uwanja wa taifa) na Kilimanjaro CCM
mkoa, mwaka huu wamepata nafasi ya kuangalia Tuzo za kili live kupitia
big screen, wakati shughuli ya kuwapata wasanii bora watakaoshine kwa
mwaka 2012 - 2013 ikifanyika siku ya tarehe 8 june ndani ya Mlimani
city.
shuguli hiyo ya utoaji Tuzo itaanza saa tatu za usiku, baada ya red
carpet kuanza saa moja hadi saa mbili usiku, na kufatiwa na chakua kabla
ya shughuli nzima kuanza saa tatu usiku, ambapo pia itaonyeshwa kupitia
televisheni ya ITV.
Tickets zitaanza kuuzwa siku ya jumanne katika ukumbi wa mlimani C, Born
2 Shine Mwenge, Robby One Fashion, Kinondoni n Sharks Limited, Mtoni
kwa Aziz Ally karibu na Equator, kwa zile tickets za VIP zinapatikana
Mlimani City peke.
kumbuka zoezi la upigaji kura lilishafungwa tangu ilipofika tarehe 31
May, na kwa mara kwanza utashuhudia wasanii wa zamani wakiimba nyimbo za
wasanii wa sasa na kinyume chake
No comments:
Post a Comment