Tuesday, 4 June 2013

BALOZI WA TANZANIA NCHINI SOUTH AFRICA ATOA RAMBI RAMBI MSIBA WA NGWEA


Balozi wa Tanzania nchini South Africa, Radhia Msuya,baada ya kutangaza sababu zinazochelewesha kufika kwa mwili wa marehem Albert Mangwea, ametoa rambi rambi juzi alipofika mahali msiba ulipo, maeneo ya Mbezi Goig jijini Dar-salaam.
Mh Radhia amesema ni taratibu za kiserikali tu zinazokwamisha kufika kwa mwili huo, lakinileo  mchana ama jioni ataweza kusafirishwa,

No comments:

Post a Comment