Thursday, 16 May 2013

WIMBO MPYA WA LINEX FEAT WYRE:RIZIKI YANGU

Jana ndani ya xxl,Linex alitambulisha wimbo wake mpya nuawo julikana kwa jina la Riziki yangu aliomshirikisha msanii kutoka kenya ,Wyre Kelvin

No comments:

Post a Comment