Friday, 17 May 2013

TID NAYE AGOMA KUSHIRIKI KATIKA SHOW YA LADY JAYDEE


Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo. Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi.. Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote.   Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa...

No comments:

Post a Comment