Friday, 17 May 2013

"SIJAWAHI MVULIA NGUO MWANA FA"...HUSNA...


MISS Sinza 2011, Husna Maulid, juzikati ameibuka na kudai kwamba katika maisha yake hajawahi kutoa penzi kwa msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’. Husna aliyasema hayo Mei 15 mwaka huu baada ya kuvumishiwa kuwa anatoka kimapenzi na staa huyo na kwamba, kwa sasa hakuna kificho chochote kwani hadi picha...

No comments:

Post a Comment