Monday, 13 May 2013

REST OF MY LIFE IKO TAYALI:HEMEDDY SULEIMAN(P.H.D)

Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya nchini...Hemeddy Suleiman(P.H.D) Jana katika viwanja vya gimicanas alizindua filamu yake mpya inyo julikana kwa jina la REST OF MY LIFE
Filamu hiyo amemshirikisha msanii wa musiki wa kizazi kipya Heri Samir maarufu,  Mr blue,


USIIKOSE   ITS SO AMAZING!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ENJOY

No comments:

Post a Comment