Monday, 13 May 2013

CLOUDS FM YAITIKISA DODOMA KATIKA UZINDUZI WA MSIMU MPYA WA RADIO HIYO


Katika kuzindua msimu mpya wa radio ya Clouds, ambao umefanyika ndani ya mji mkuu Dodoma, kwa siku tatu mfululizo, Clouds waliandaa semina kwa ajili ya kuwasaidia vijana, katika uelewa wa fursa zinazotuzunguka na kujituma kuhakikisha tunatumia fursa hizo kwa maendeleo yetu na taifa kwa ujumla. Semina hiyo alifanyika katika ukumbi wa African dream hotel na kujumuisha vijana wa rika mbali mbali...Read More

No comments:

Post a Comment