It’s official. Riri na Chris Breezy hawako pamoja tena au kwa sasa
hawako pamoja.
wapenzi hao wazamani, wameonekana wakitumia weekend zao kwa umbali wa
maili 300 weekend iliyopita, huku Chris akila bata Vegas kwa ajili ya
siku yake ya kuzaliwa, huku Rihanna akitumia siku ya jumamosi akiwa
Barclays Center kwenye game kati ya Nets na Bulls
kwa mda sasa Riri na Breezy...Read More
No comments:
Post a Comment