Msanii wa hip hop izo b amefanya ngoma mpya inayokwenda kwa jina la love
me ambayo amefanya na mkali wa masauti kutoka tht barnaba elias
(barnaba)nyimbo hiyo inatarajiwa kuzinduliwa jumamosi hii love ni ngoma
ambayo ni nzuri na yenye mashairi ya ukweli kuwatayari kuipata na kuisikiliza
IZO B NA BARNABA NDANI YA LOVE ME
No comments:
Post a Comment