Dada wa aliyekuwa mfalme wa muzik wa pop amesema mzimu wa michael bado
upo katika nyumba aliyekuwa akiishi na anaamini kwamba unawalinda wao
pamoja na watoto wake ambao ni prince,paris na blanket ambao wanalelewa
na bibi yao catherine Na alizidi kusema kwamba ukienda katika nyumba ya encino huwa wanasikia milio na vishindo vya kucheza kwake na ndo maana
No comments:
Post a Comment