Sunday, 7 April 2013

Bonge La Nyau atambulisha ujio wake mpya

Msanii Lameck Philipo ali maarufu kama bonge la nyau baada ya ngoma yake inayo tamba  kama walagai sasa afunguka kuusu ngoma zake tatu ambazo zinatarajia kutoka kati ya  mwishoni mwa mwezi huu na mwezi wa tano mwanzoni












 Ngoma izi zitatambulika kwa majina ya Anapenda raha, Homa ya mapenzi na Nzobenense ambapo Homa ya mapenzi atafanya na  mtu mzima Ommy Dimpoz .Ngoma zote izi zinafanyika chini ya Sharobaro Records na mtu mzima Bob Junior.Napia kati ya hizo ngoma tatu moja itakua official pamoja na video papohapo.


 Kaa mkao wa kula  maaana anakimbiza kweeeeeeeli hao panyaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
..

No comments:

Post a Comment