Sunday, 21 April 2013

Ben Paul kuachia jikubali

Ben Paul hivi karibuni anatarajia kutoa wimbo wingine utakao fahamika kwa jina la Jikuba ambao utanzungumzia sana  wale wano jisikia wanyonge nakukosa amani katika maisha ,wajikubali kwanza wenyewe alafu kila kitu kitakua sawa,,,,,,,,,,,,,,



SIO YAKUKSA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ITS GONNA BE GREAT ,,,,,,,,,,,,,,ENJOY!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment