Ikiwa ni muda sasa tangu single ya tupogo kutoka na kufanya vizuri
maskioni mwa mashabiki wengi wa muziki wa bongo fleva, watu wengi
wamekuwa wakijiuliza kuhusu video ya wimbo huo, maana mpaka dakika hii
haijatoka, Ommy Dimpoz leo hii ameamua kuongea na hiki ndicho
alichokisema
"video ya tupogo kiukweli kama unavyoona imechelewa lakini ni kutokana
na jay martines alikuwa na mambo ya kifamilia, mke wake ni mja mzito,
kwahiyo sasa nikashindwa kushuti mimi kama mimi, na mke wake mwenyewe
alimpeleka marekani kwaajili ya mambo hayo, kwahiyo ikawa kidogo imekuwa
ngumu, lakini watu wajiandae kwa sapraiz kubwa kwenye tv zao na redio.
siwezi kusema ni sapraiz ya kitu gani lakini wajiandae na sapraizi
kubwa, inawezekana ya kitu kipya au vipi, lakini watu wajiandae"
No comments:
Post a Comment