P-FUNK KUSAKA KINA "NATUTER WAPYA"(WASANII CHIPUKIZI WATANO)!!!!!!!!WAHI SASA
Prodyuza maarufu wa muziki hapa nchini kutoka studio za Bobgo Records ,Paul Matthysse maarufu P-Funk ameamua kusaka chipukizi watano kwa ajili ya kufanya nao kazi mbalimbali za muziki.
No comments:
Post a Comment