Saturday, 17 August 2013

KAJALA NA MPYA BAADA YA MDA MREFU TANGU ATOKE GEREZANI AKISHIRIKIANA NA RIYAMA ALLY


MSANII WA FILAMU HAPA NCHINI,KAJALA MASANJA MAARUFU KAJALA..............AMEAMUA KUFUNGAKA KUWA SIO KAMA UKIMYA WAKE UNAMAANISHA KUWA NDO KAACHA KUIGIZA,ANAANDAA MAMBO MAZURI KWAKU SHIRIKIANA NA MSANII MWENZIYE ANAEJULIKANA KWA JINA LA RIHAMMA ALLY!!!!!!!!!!!!!USIKOSE!

No comments:

Post a Comment