Saturday, 31 August 2013

GELLY WARYMES NA HEMED SULEIMAN KUACHIA FILAMU MPYA ITAKAYO JULIKANA KWA JINA LA TWO IDIOTS

NI FILAMU AINA YA COMEDY,INAYO ZUNGUMZIA MAPENZI,HEMED ANAONEKANA ANAPENDWA SANA NA MADEMU JAPO HANA KAZI NA HAPOHAPO GELLY ANATESEKA KWA SABABU YA MAPENZI HAYO HAYO,!!!!!!!!! USIKOSE........ITS LOVELY AND HOT

No comments:

Post a Comment