Saturday, 31 August 2013

AY KUKAMILISHA VIDEO YA BILA KUKUNJA GOTI BONDENI

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Ambwene Yessaya anatarajia kwenda nchini South Africa kwaajili yakumalizia video yake hiyo aliyomshirikisha msanii kutoka nchini Nigeria J Martin

No comments:

Post a Comment