Msanii bora wa r&b hapa Tanzania,ambaye ndiye anaeshikilia tuzo ya hiyo ya r&b kwa mwaka huu,aliyoipata kupitia nyimbo yake ya kuwa na subira iliyowashirikisha wasanii wa hip hop Maujanja saplaya.
Ni siku moja tu imepita tangu aachie nyimbo yake mpya,ambayo amemshirikisha Lady jaydeeinayokwenda kwa jina la kama huwezi,ambayo imepokelewa vizuri sana na mashabiki kutoka maeneo mabalimbali.
Rama dee,alisema’’msanii aliyenivutia kufanya muziki pamoja na uandishi mzuri wa r&b ni Mrpaul,nina kila sababu ya kumkubali huyu jamaa,kwani ana vigezo vyote vya kuwa king of r&b Tanzania,so huyu ndiye aliyenivutia kwenye muziki
No comments:
Post a Comment