DAR ES SALAAM YATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEM ALBERT MANGWEA(haya yote yalifanyika jana katika viwanja vya leaders club)
umati wa watu uliofurika katka viwanja vya leaders asubuhi ya leo katika kuuaga mwili wa kipenzi chetu Albert Mangwea
gari liliobeba mwili wa marehem Albert, likiwa tayari kwa ajili ya
kuelekea morogoro, ambapo ataagwa tena na wakazi wa Morogoro kuanzia saa
nne asbuhi mpaka saa sita mchana, ambapo safari yake ya mwisho kuelekea
makaburini itakua imefika. Mungu ailaze roho ya marehem Albert Mangwea
mahali pema peponi.
May his soul rest in peace!Amen.
ReplyDelete